Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tapeli gani huyo?Mamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Na watu watamuamini na watajaa kwenye maombi yake! Akina dada ndio watakuwa wengi zaidi na wengine watakwenda na maombi yao kutafuta waume! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾🏃🏾🏃🏾Mamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Utapigwa kisomo wewe.Mamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Enaseketesha!Uzuri ni maombi tu. Hakuna anaedhurika. Kwa wewe usieamini chukulia ni kama wanapoteza muda wao lakini wakati huo huo kuheshimu haki yao ya kuabudu.
Mwamposa juzi alisema kafungua mbingu mvua itanyesha, kwa wasio amini wanaona porojo tu lakini haiwadhuru chochote na wakati huo huo inawapa faraja wanaomuamini.
Hizi zote ni imani na hazina madhara zikiachwa kuliko kukashifu watu ambapo kutapelekea mabishano yasiyo na tija.
Kuna wakati katika maisha ukimya/kupuuza huwa kuna thamani kuliko kauli yeyote ile.
Usichokijua daima hakikudhuru. Waache waombe ijumaa. Mvua ikinyesha itaongeza imani kwa Mungu wao na halkdhalika kwa upande wa waumini wa Mwamposa nao watazidi kusifu nguvu ya nabii wao. Mwisho wa siku kila mtu analala na furaha yake, kipindi hicho wewe unaisifia sayansi unayoiamini kuwa ipo sahihi.
naomba elimu kidogoJoto na jua ni ishara kuwa mvua iko karibu,
Nadhani dini zote safi madhumuni mazuri sana ila kuna shida ya viongozi wa dini na hapa naamanisha dini zote japo mimi ni muislamu lakini sipendi nikiona kiongozi anapotosha ukweli kutafuta mile age, usi take advantage ya watu hasa tunajuwa wengine wanaamini kila kitu hata kufufuliwa wako wanaamini lakini tunajuwa ni sanaa tu. Mvua ni msimu wake usiangalie simu yako forecast halafu ukamwambia mtu kesho mvua itanyesha na ikanyesha ukamfanya yule mtu akushangae wakati unajuwa ukweli umesoma sehemu. Hali ya hewa mwezi mzima wanatabiri ni science sio 100% lakini wanakupa % uwezekano sasa usije leo unasema tuombe mvua wakati unajuwa fika leo utabiri mvua kunyesha halafu ukijikweza du'a zimekubaliwa hapo ni dhihaka kwa watu. Kuna nchi zimeinvest kwenye maarifa kwa kwakuweka satelite huko juu kutuma matabairi( Ni akili Mungu amejalia watu) ukaja wewe hujafanya chochote ukataka usifiwe. Aende aombe mvua kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe.Uzuri ni maombi tu. Hakuna anaedhurika. Kwa wewe usieamini chukulia ni kama wanapoteza muda wao lakini wakati huo huo kuheshimu haki yao ya kuabudu.
Mwamposa juzi alisema kafungua mbingu mvua itanyesha, kwa wasio amini wanaona porojo tu lakini haiwadhuru chochote na wakati huo huo inawapa faraja wanaomuamini.
Hizi zote ni imani na hazina madhara zikiachwa kuliko kukashifu watu ambapo kutapelekea mabishano yasiyo na tija.
Kuna wakati katika maisha ukimya/kupuuza huwa kuna thamani kuliko kauli yeyote ile.
Usichokijua daima hakikudhuru.
Waache waombe ijumaa. Mvua ikinyesha itaongeza imani kwa Mungu wao na halkdhalika kwa upande wa waumini wa Mwamposa nao watazidi kusifu nguvu ya nabii wao. Mwisho wa siku kila mtu analala na furaha yake, kipindi hicho wewe unaisifia sayansi unayoiamini kuwa ipo sahihi.
ACHA MAKASIRIKO DOGO TAFUTA HELA HUWEZI KUCHUKIA VITU VIDOGO VIDOGO KAMA IVI AMBAVYO HAVIKUDHURUMamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Kumbe kasema kiongoziMamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!