Nadhani dini zote safi madhumuni mazuri sana ila kuna shida ya viongozi wa dini na hapa naamanisha dini zote japo mimi ni muislamu lakini sipendi nikiona kiongozi anapotosha ukweli kutafuta mile age, usi take advantage ya watu hasa tunajuwa wengine wanaamini kila kitu hata kufufuliwa wako wanaamini lakini tunajuwa ni sanaa tu. Mvua ni msimu wake usiangalie simu yako forecast halafu ukamwambia mtu kesho mvua itanyesha na ikanyesha ukamfanya yule mtu akushangae wakati unajuwa ukweli umesoma sehemu. Hali ya hewa mwezi mzima wanatabiri ni science sio 100% lakini wanakupa % uwezekano sasa usije leo unasema tuombe mvua wakati unajuwa fika leo utabiri mvua kunyesha halafu ukijikweza du'a zimekubaliwa hapo ni dhihaka kwa watu. Kuna nchi zimeinvest kwenye maarifa kwa kwakuweka satelite huko juu kutuma matabairi( Ni akili Mungu amejalia watu) ukaja wewe hujafanya chochote ukataka usifiwe. Aende aombe mvua kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe.