Dini ziache usanii

Mamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Watu wengine wanajitoaga ufahamu tu.Pia mvua zina muda wake hata zichelewapo ni mambo ya kijiografia.
 
Waacheni wazee wapige maombi ya mvua mnaumia wapi mbona wazee wazamani walikua wanasogea misituni kipindi kama iki kuomba mvua mvua inanyesha kesho yake watu wanafurahi jambo kama ilo likifanywa na viongozi wa dini halina ubaya vile vile yani ni picha flani ivi yakumtegemea Mungu wala hakuna shida..toeni uswahili wenu na chuki za kijinga
 
Nikimtaja inaweza kuwa shida ila ukiona watu Ijumaa wanaombea mvua waambie wasipoteze muda wao hata wasipoomba itanyesha
Hichi kitu nimekiwaza pia sikuelewa. Kwanini hawakufanya maombi mwezi uliopita?
 
Uzuzu wa watanzania kwenye ubora wake, dini za kuletwa na merikebu!zimetamalaki
We unajua walichokuwa wanakifanya babu zako kipindi kama iki mvua zikigoma ? Ungeshatolewa kafara wewe sa si bora dini zakuletewa ustaarabu upo kidogo

Sisi wabongo tumepata uhuru mapema sana kwanza ilitakiwa hadi saiz tuwe chini ya mkoloni
 
Wacha inyeshe hiyo ya TMA na Inyeshe hiyo ya waombaji tayari tunapata double Huoni ni faida kubwa inakuja? Cha kulalamika ni kipi hapo?
 

Mwenyezi Mungu kabla ya kuombwa kasema nitawashushia mvua na barka zote hata wakati wa majahili watu wanaabudu sanamu Mungu aliwashushia mvua. zamani hakuna tech watu hawajui lakini wako watu wanalikuwa wanatizama mwezi tu na wanakwambia mvua inakuja, jua likiwa kali sana unajuwa mvua inakuja/ Shida sio maombi shida wasiseme mvua zimekuja sababu tumeomba nadhani wangefanya maombi ya kushukuru tunaanza kupata mvua sio kuomba, huombi kitu umeshapewa unashukuru ukipewa ili upewe zaidi. Badilisha kauli MAOMBI YA KUSHUKURU KUPATA MVUA KARIBU SIO MAOMBI TUPATE MVUA
 
We unajua walichokuwa wanakifanya babu zako kipindi kama iki mvua zikigoma ? Ungeshatolewa kafara wewe sa si bora dini zakuletewa ustaarabu upo kidogo

Sisi wabongo tumepata uhuru mapema sana kwanza ilitakiwa hadi saiz tuwe chini ya mkoloni
Huu ni upumbavu katika kiwango cha juu kutoka kwa middle class, ila sishangai sana maana umejitoa ustaarabu wako na utamaduni wako na kuuona wa kuletewa ndio bora,maisha ya mababu zangu yalikua ni bora kuliko ya haya matapeli wa kidini, Kamara ilikua ni sehemu ya maisha, nothing wrong na hilo,
 
Tuna tatizo la maji tayari na mvua ambazo ni chanzo kikuu cha upatikanaji wa maji kwa matumizi wa viumbe hai hainyeshi kama ilivyozoeleka, wanao omba mvua kunyesha si wenye uhakika wa mvua kunyesha na wanao tabiri mvua kunyesha si wenye uhakika wa mvua kunyesha, hivyo basi tusiwe mashabiki wa kulaumu kwa vitu visivyo na msingi kwani tatizo letu ni maji. Na wengi humu ambao ni watumiaji wa social media si wakulima wala wafugaji na kama mvua zikinyesha tunaona ni kama kero fulani, ujumbe wako uwe wenye manufaa kwa jamii usiwe wenye kuleta chuki kwa miongoni mwa watu, maombi ya mvua ni miongoni mwa ibada kama ibada zingine kwa jamii ya watu wenye imani fulani, na mvua pindi inaponyesha inaweza ikawa neema au ikaleta maafa sasa watu wakiomba mvua itakayonyesha isilete maafa au madhara na badala yake ilete manufaa na faraja kwa watu na mali zao ni vibaya kufanya hivyo?
 
Mamlaka ya Hali ya Hewa imeshatangaza mvua zitakuwa this weekend. Sasa kiongozi anasema Ijumaa itakuwa siku maalum ya maombi ya mvua!
Ndio maana kina mwamposa hua wanatayarisha watu kujidai wameponeshwa magonjwa kama kisukari na kensa. Usanii mtupu. Huwezi ukaona eti wapo hospitalini kwenye mawodi wanaponesha wagonjwa wa kweli😂🏃💃🤸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…