comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 8,748 Reaction score 18,096 Nov 4, 2025 #1 Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 4, 2025 #2 Wachumia tumbo tu hao hawana jipya.