plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,394
- 1,434
Hawa ni viumbe ambao inakadiriwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla hata ya mwanadamu kuwekwa kwenye uso wa dunia. Kipindi hicho dunia ilikuwa haijagawanyika, ardhi ilikuwa sehemu moja na iliitwa Pangea.
Viumbe hawa walikuwa jamii ya reptilia wakubwa sana. Walikuwa na maumbo tofauti tofauti na wapo baadhi walikuwa wakiweza kutembelea miguu miwili, wengine walitembelea miguu minne. Wengine waliweza kuswitch kutembelea miwili au minne kwa jinsi watakavyo amua.
Miaka ya 1820s iligunduliwa mifupa ya kireptilia mikubwa sana kiasi kwamba watu walichanganyikiwa wakijiuliza kiumbe huyo alikuwa mkubwa namna gani.
Viumbe hawa walikuwa wababe sana, waliitawala dunia ya nyakati zao. Inasadikika viumbe hawa ndio waliowakula hadi dragons na kuwamaliza. Yani ukisikia viumbe wababe ndo hawa.
Viumbe hawa wapo waliokula majani na wapo waliokula nyama. Ila wakati mwingine hawa viumbe walikulana nyama wao kwa wao.
Viumbe hawa hawakutosheka wakaingia baharini wakala viumbe vya ajabu vya nyakati hizo, wakatawala kila kona.
Baadae Mungu akawatowesha viumbe hawa kwenye uso wa dunia. Wanasayansi katika tafiti zao wanasema zamani miaka milioni nyingi iliyopita kilianguka kimondo kikubwa kwenye uso wa dunia kikaiharibu kabisa dunia. Na viumbe hao wakawa hawana ujanja mbele za Mungu wakafia hapo.
Ni kweli wanadamu tuliumbwa tuwe miungu wa dunia hii milele na tulitawala wanyama wakali kama simba, dubu na wengine bila dhara lolote, maana yake hata tungewakuta Dinosaurs tungewatawala vilevile.
Leo wanyama hao tunawaogopa sana kwa sababu ya uasi pale bustani ya Edeni. Hebu imagine tungewakuta hao Dinosaur halafu tukaasi namna hiyo jinsi ambavyo wangetufanya hamna. Tumshukuru sana Mungu aliwaondosha mapema duniani
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app