DINOSAURS: Tumshukuru Mungu kwa kuwaondosha mapema viumbe hawa duniani

DINOSAURS: Tumshukuru Mungu kwa kuwaondosha mapema viumbe hawa duniani

Moja ya hadithi za kale zisizo sahihi kwa kutoka upande wowote uwe wa science au religion ni pamoja na hii haijapata kudhibitika kwa njia iliyo nyooka au sio Kiranga
 
uwepo wa hayo madude unaaminika sio story za kufikirika ila ni kweli maana kuna vidhibiti vya mifupa yao huko German ila bila shaka kabisa kama wangekuwa bado wapo basi wangekuwa wapo chini ya himaya ya binadamu tuna wanyama wakubwa kuliko sie na bado wapo chini yetu kitu cha kuamini kama ambavyo simba,tembo na wanyama wengine wanavyotoweka hata binadamu tutatoweka na vitakuja viumbe vingine , Trust me kikubwa tuombe uzima tu.
 
Back
Top Bottom