Diploma in Clinical medicine vs banchelor in cardiovascular technology

Diploma in Clinical medicine vs banchelor in cardiovascular technology

Clinical officer kujiajiri ni nguvu kwa sababu CO hawez kutumia cheti kufungua dispensary (kuanzia AMO ndo anaruhusiwa Ambayo imefungwa ila kuna tetesi za kurudishwa) huwez kufungua duka la dawa muhimu unless una chet cha ADDO (NB ADDO Imefungwa haitolewi tena) huwez kufungua maabara kwa chet cha CO pia ..kwaio labda ufungue duka la dawa za kienyeji

Kwahyo ukisoma CO jiandae kuajiriwa au ujiendeleze kielimu ambapo kwenda MD au kozi zingine nyingi kama 16 kwa hapa tanzania ambazo CO anaweza soma.

Cardiovascular technologist kozi hii Tanzania haijaanza kutolewa ila kuna tetesi kuwa ina kuja..ila ukisoma nje TCU wanaitambua na Bodi ya madaktari inakutambua na ajira zake zipo ata mwaka jana JKCI walitangaza.. na kozi usidhani unaenda kusomea kutibu magonjwa ya moyo ...hapana bali unaenda kusomea namna ya kuendesha na kuitumia mitambo inayohusiana na moyo ...yani Ma ECG ma ECHO na mengine mengi kwaio ww unakua mtaalam wa kumsaidia daktari kutambua mogonjwa ya moyo kupitia vifaa tiba hvo ...hyo pia kujiajiri ni ngumu utasubir kuajiriwa .. kwasasa wataalam bado wachache na hospital nyingi znazid kua advanced na tunapoelekea pia hospital nyingi ztakua zinatoa huduma za moyo na upasuaji wake ..kwaio mm nashaur boravmtu asome Cardiovascular technology kuliko clinical officer
 
Hello habari,

Kwa aliyesoma kozi Moja wapo kati ya hizo ipi inasoko Kwa Tanzania,na ipi ni rahisi kujiajiri,je kiwango chao cha mshahara.

Kwa ajira ya Serikali kipoje.
Ishu ni connection tu.
Ila C.O kujiajiri ni rahisi sana ila kwa kazi kuna ukinzani maana C.O wamekua wengi.
Kama una fikra za kujiajiri soma C.O italipa.
 
Back
Top Bottom