diploma in education

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wana JF!!!!!!
mimi ni mgeni ktk jamvi hili, naomba kuuliza kwa kupitia mtandao wa ndugu Isaack Newton, Nina dv.4 ya 27 nime apply chuo cha ualimu Enkenford cha Tanga, Je nikisha maliza certificate ninaweza kuendelea na diploma huku nafanya kazi? naomba tuwe waungwana jamani!
 
Sasa ukimaliza Cerificate itategemea ikiwa
umepata kazi halafu pia mazingira ya kazi

Unaweza kupilekwa kijijini hiyo Diploma
uisomea wapi ? Labda ukimaliza Certificate
uendelee na Diploma.
 
Huwezi mpaka ufanye mtihani wa form six ndio uendelee na diploma

noo kuna diploma za aina mbili za education moja ambayo inaratibiwa na wizara ya elimu moja kwa moja na mitihani yake ipo chini ya necta. Diploma hii ndo mpaka ufanye mtihan wa f6. Aina nyingne ya diploma ni ile inayotolewa na vyuo mbalimbali binafsi mfano SMMUCO,TUMAINI,Saut, open nk. Diploma hizi unameweza kusoma either uwe na certificate au umefanya paper ya 6. Umenielewa?
 
Sasa ukimaliza Cerificate itategemea ikiwa
umepata kazi halafu pia mazingira ya kazi

Unaweza kupilekwa kijijini hiyo Diploma
uisomea wapi ? Labda ukimaliza Certificate
uendelee na Diploma.

lakini mkuu eti nasikia lazima uwe na experience isiyo pungua miaka miwili ndo uendelee na diploma ni kweli?
 
kuna diploma za aina mbili za education moja ambayo inaratibiwa na wizara ya elimu kupitia vyuo vya ualimu moja kwa moja na mitihani yake ipo chini ya necta. Diploma hii ndo mpaka ufanye mtihan wa f6. Aina nyingne ya diploma ni ile inayotolewa na vyuo mbalimbali binafsi mfano SMMUCO,TUMAINI,Saut, open nk. Diploma hizi unameweza kusoma either uwe na certificate au umefanya paper ya 6.
 

big up sana mkuu kwa maelezo yako mazuri!
 
ndio ukimaliza certificate unaweza kuendelea na diploma uku ukiwa unafanya kazi. itakuwa rahisi kuendelea na masomo uku unafanya kazi ikiwa utakuwa unasoma session ya jioni (evening class) kama chuo inayo.
 

kwa mfano umepangiwa kijijini huwezi kusoma Open university ambayo ina centre kila mkoa?
 
ndio ukimaliza certificate
unaweza kuendelea na diploma uku ukiwa unafanya kazi. itakuwa rahisi
kuendelea na masomo uku unafanya kazi ikiwa utakuwa unasoma session ya
jioni (evening class) kama chuo inayo.

Nimekuelewa mkuu,,,,,,,,,,,! kabla hauja log out mkuu, naomba unipe ufafanuzi wa grade za ualimu sijui kuna grade A-B n.k. maana sifahamu vizuri!
 
lakini mkuu eti nasikia lazima uwe na experience isiyo pungua miaka miwili ndo uendelee na diploma ni kweli?

ili upewe ruhusa ya kusoma ndo unatakiwa ukae miaka miwli kazin lakini kama hutaki kufanya kazi unaweza kuunganisha hapo hapo ukasoma dip
 

wewe unasema kweli? Samahani Hebu nipe ufafanuzi juu ya hili
 
wewe unasema kweli? Samahani Hebu nipe ufafanuzi juu ya hili

ukwel gani zaidi unaoutaka? Kwa ukweli zaidi gogle moja wapo kati ya hivi vyuo alafu uangalie maelezo yao juu ya kujiunga na diploma za elimu. Makumira Univerty,ST.JOHN universty,stephano Moshi meimorial universty na hata open Universty. Au ni maelezo gani unayataka zaidi?.
 
Unajua nini kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hauwezi kusoma diploma kama hauja fanya mtihani wa f 6 kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya hili tena ikibidi 2pia hata link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…