Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
Unajua nini kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hauwezi kusoma diploma kama hauja fanya mtihani wa f 6 kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya hili tena ikibidi 2pia hata link
Open University wanatoa diploma ya ualimu? Nauliza tu!
ili upewe ruhusa ya
kusoma ndo unatakiwa ukae miaka miwli kazin lakini kama hutaki kufanya
kazi unaweza kuunganisha hapo hapo ukasoma dip
Nimekuelewa mkuu,,,,,,,,,,,! kabla hauja log out mkuu, naomba unipe ufafanuzi wa grade za ualimu sijui kuna grade A-B n.k. maana sifahamu vizuri!
sio diploma tu wanatoa hadi certificate ya education