Mipale Steve
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 384
- 43
Unajua nini kuna baadhi ya watu wanadai kwamba hauwezi kusoma diploma kama hauja fanya mtihani wa f 6 kwahiyo nahitaji ufafanuzi zaidi juu ya hili tena ikibidi 2pia hata link
ndio mana nikakwambia kuwa kuna diploma za aina mbili ipo unayoweza kujiunga kama ukiwa na cheti na nyingne mpaka ufanye paper ya f6.