Poleni kwa majukum,
naomba msaada wa mawazo yenu, mdogowangu aliomba chuo cha afya zanzibar na kwa bahat nzur kachaguliwa diploma in nursing,
anatakiwa kuripor tar 9 mwez ujao. Kitu kinachonipa mawazo ni kuhusu ajira kwani kwa huku kwetu tumezoea watu wa afya wanaajiriwa moja kwa moja (I mean wanajaza form wakiwa bado chuoni)
Naomba mtu mwenye uelewa anijuze, wanaosomea zanzibar nao huwa wanaajiriwa moja kwa moja au mpaka waombe wizarani?