Diploma in nursing Zanzibar

Diploma in nursing Zanzibar

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Poleni kwa majukum,

naomba msaada wa mawazo yenu, mdogowangu aliomba chuo cha afya zanzibar na kwa bahat nzur kachaguliwa diploma in nursing,

anatakiwa kuripor tar 9 mwez ujao. Kitu kinachonipa mawazo ni kuhusu ajira kwani kwa huku kwetu tumezoea watu wa afya wanaajiriwa moja kwa moja (I mean wanajaza form wakiwa bado chuoni)

Naomba mtu mwenye uelewa anijuze, wanaosomea zanzibar nao huwa wanaajiriwa moja kwa moja au mpaka waombe wizarani?
 
kwa wale wanaojilipia ada yote wakimaliza wanaweza kutafuta ajira wenyewe ila wale wanaolipiwa 50% ya tuition fee na wizara ya afya zanzbar wakimalza lazima waitumikie serikali kw miaka miwili ktk hosptal zake halaf ndo mkataba ukimaliza wanaweza kutafuta ajira popote au kwenda kuongezea elimu zaidi (degree or advancd diploma) au unaweza ukaendelea hapohapo kwny hospital za serikali.
 
wale wa general nursing ndo hawakosi ajira kabsaa maana kwa kila clinical officer mmoja wanahitajika nurse10 na nurses wengi wanapangiwa pale hosptali kuu mnazmmoja ila clinical officers wengi wanapelekwa dispensari ndogondogo za wilaya kulingana na sehemu wanazoishi.
 
Hata hawa wanajaza form kama kawaida coz kuna watu wamemaliza hapa but wamepangiwa mikoani..so kuhusu suala la ajira mbona hakuna shida
 
kwa wale wanaojilipia ada yote wakimaliza wanaweza kutafuta ajira wenyewe ila wale wanaolipiwa 50% ya tuition fee na wizara ya afya zanzbar wakimalza lazima waitumikie serikali kw miaka miwili ktk hosptal zake halaf ndo mkataba ukimaliza wanaweza kutafuta ajira popote au kwenda kuongezea elimu zaidi (degree or advancd diploma) au unaweza ukaendelea hapohapo kwny hospital za serikali.

yeye amechaguliwa general nursing na tunatarajia atajilipia ada
 
wale wa general nursing ndo hawakosi ajira kabsaa maana kwa kila clinical officer mmoja wanahitajika nurse10 na nurses wengi wanapangiwa pale hosptali kuu mnazmmoja ila clinical officers wengi wanapelekwa dispensari ndogondogo za wilaya kulingana na sehemu wanazoishi.

kapangiwa general nursing mkuu ila kazi anapenda kufanyia huku kwetu bara
 
we boya oil sumu kila thread wakuongelee wewe tu huna mishipa ya aibu we mdada! jirekebishe mama!
 
Back
Top Bottom