kwa wale wanaojilipia ada yote wakimaliza wanaweza kutafuta ajira wenyewe ila wale wanaolipiwa 50% ya tuition fee na wizara ya afya zanzbar wakimalza lazima waitumikie serikali kw miaka miwili ktk hosptal zake halaf ndo mkataba ukimaliza wanaweza kutafuta ajira popote au kwenda kuongezea elimu zaidi (degree or advancd diploma) au unaweza ukaendelea hapohapo kwny hospital za serikali.
wale wa general nursing ndo hawakosi ajira kabsaa maana kwa kila clinical officer mmoja wanahitajika nurse10 na nurses wengi wanapangiwa pale hosptali kuu mnazmmoja ila clinical officers wengi wanapelekwa dispensari ndogondogo za wilaya kulingana na sehemu wanazoishi.
Hata hawa wanajaza form kama kawaida coz kuna watu wamemaliza hapa but wamepangiwa mikoani..so kuhusu suala la ajira mbona hakuna shida
kwa ufupi ni kwamba, afya imejaa ajira.
kwa ufupi ni kwamba, afya imejaa ajira.
labda hawe mkunga! Samahan kama nimegusa ukwl
kweli wewe oil sumu! Hivi elimu yako darasa la ngapi vile!
labda hawe mkunga! Samahan kama nimegusa ukwl
wewe oil sumu nina mashaka na wewe...nina wasiwasi una historia ya kuugua homa ya ubongo.
ngoja nimuulze kwanz mama kama kwl nita ku pm sawa man
wewe oil sumu nina mashaka na wewe...nina wasiwasi una historia ya kuugua homa ya ubongo.
ngoja nimuulze kwanz mama kama kwl nita ku pm sawa man
we boya oil sumu kila thread wakuongelee wewe tu huna mishipa ya aibu we mdada! jirekebishe mama!