Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakua mtu wa maabara za shule,vyuo,viwandani na taasisi za utafiti.Habar za kutwa humu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habar hapo juu,naomba kujua hiyo kozi inahusika zaid na masuala gani na soko lake la ajira limekaaje, ni kozi inayotolewa pale muslim university of Morogoro na mwaka nategemea kwenda kusoma.
[emoji419]Unakua mtu wa maabara za shule,vyuo,viwandani na taasisi za utafiti.
Yaani lab technician,tofauti na yule wa hospital, wewe utakua unacheza na vikemikali vya shuleni au chuoni au maandalizi ya praticals.
Tatizo wanasoma sana kemia na baioloji,fizikia ni kidogo,matokeo yake wakifika maabara za vyuoni wanahangaika sana.
USHAURI: HIYO KOZI USISOME ILE ILIYOKO SUA,NI UONGO NA PROPAGANDA TUPU HAKUNA KITU PALE.
YA MUSLIM NI HERI KULIKO YA SUA.
Vip kuhusu ajira zake mkuu zinapatikan au mbaa ujiajiri??Unakua mtu wa maabara za shule,vyuo,viwandani na taasisi za utafiti.
Yaani lab technician,tofauti na yule wa hospital, wewe utakua unacheza na vikemikali vya shuleni au chuoni au maandalizi ya praticals.
Tatizo wanasoma sana kemia na baioloji,fizikia ni kidogo,matokeo yake wakifika maabara za vyuoni wanahangaika sana.
USHAURI: HIYO KOZI USISOME ILE ILIYOKO SUA,NI UONGO NA PROPAGANDA TUPU HAKUNA KITU PALE.
YA MUSLIM NI HERI KULIKO YA SUA.
Kujiajiri utajiajiri vipi?? ,Utafungua kiwanda au shule?? Iyo kozi ni lazima utafute ajira, Ajira zipo japo lazima CONNECTION sababu kuomba kazi viwandani bila SUPPORT sidhani kama unatoboa, kuna jamaa angu kaunganishwa na mtu saivi anakula maisha kiwanda cha MTIBWA SUGAR .Vip kuhusu ajira zake mkuu zinapatikan au mbaa ujiajiri??
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza inawatangazia waombaji fursa za masomo ya ngazi ya STASHAHADA yaani Ordinary Diploma katika fani zifuatazo:Habar za kutwa humu,