Habar za kutwa humu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habar hapo juu,naomba kujua hiyo kozi inahusika zaid na masuala gani na soko lake la ajira limekaaje, ni kozi inayotolewa pale muslim university of Morogoro na mwaka nategemea kwenda kusoma.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza inawatangazia waombaji fursa za masomo ya ngazi ya STASHAHADA yaani Ordinary Diploma katika fani zifuatazo:
1.Ordinary Diploma in Science and Laboratory Technology
2. Ordinary Diploma in Food Processing Technology
3. Ordinary Diploma in Leather Products Technology
4. Ordinary Diploma in Leather Processing Technology
Sifa za mwombaji,
Elimu ya kidato Cha Nne (IV) na Ufaulu wa alama "D" au zaidi kwenye masomo ya sayansi mfano FIZIKIA ,Engineering Science, Food and Nutrition, KEMIA au HISABATI
AU
Cheti cha VETA Daraja la Tatu (NVA Level 3)
Pia ukiomba kusoma kozi zetu ni rahisi kupata mkopo wa serikali kwa wahitimu wa Kidato Cha nne (4) na sita (6).
Huduma ya ushauri na maelekezo namna ya kujaza ombi (Application) wakati wa udahili (Admission), inatolewa BURE.
Namna ya kujiunga kupitia on line tumia link ya
admission@dit.ac.tz
Kwa maelekezo zaidi, wasiliana nasi kwa simu na barua pepe zifuatazo:
0625 833 819/0629153727/ 0767 605 438/0754 660 773/ au fika DIT Kampasi ya Mwanza Ilemela,Barabara ya Makongoro au Airport ,kwa maelekezo zaidi.
Barua pepe:
info@mwanzacampus.dit.ac.tz
DIT KAMPASI YA MWANZA 2024, KWA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NCHINI.