Isack B
Member
- Aug 21, 2014
- 73
- 13
Habari za leo wakuu!
Napenda kuuliza kuwa, hivi inawezekana kwa mtu aliyesoma na kutunukiwa diploma in telecommunications networks kukitumia hicho cheti chake kuomba mafunzo ya bachelor of science in Telecommunication Engineering au Bsc in Electronics and Telecommunication engineering!?
Msaada jamani kwa anayejua.