Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

Diploma jina la kwenye Deed poll degree limevutwa la form 4.

Flowerpot

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
221
Reaction score
319
Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4, nimeuliza admission wanasema wenyewe wanavuta ya form 4 na hamna shida.

Lakini mimi bado sina amani. Hii imekaaje wakuu? Sheria inasemaje na mtu aliebadili jina kisheria?.
 
Back
Top Bottom