Diploma of medical lab

Diploma of medical lab

Victor Nicho

Member
Joined
Mar 27, 2014
Posts
29
Reaction score
1
Habari na poleni na majukum mbali mbali Naomba kwa anaye kifahamu chuo cha Maabara kilichopo DSM kinatoa diploma ya mwaka mmoja kwa anaye kifaham anitupie data hapa full ma anwani na contant msaada plz
 
Diploma mwaka mmojaa???
 
Hiyo system imeanza mwaka huu Lakin kwa wale walipitia certificate na ni vyuo vichache ambavyo comatose system hii ki moja wapo n singida
 
Duuh..! Mwaka mmoja..!! Kama kwel mmerahisishiwa sana.
Kwa ushaur fanya juhudi hata kujiunga na hicho cha Singida.
Coz its a golden chance.
 
Back
Top Bottom