Wadau Udom walitoa tangazo lakutuma maombi ya diploma za sayansi kama vile diploma in pharmacy and Nursing pamoja diploma ya education. sasa ninapo jaza form za mkopo online kuna sehemu ya applicant category ,Mimi nikajaza kama applicant of science education na course nilizo jaza ni diploma in pharmacy and diploma in Nursing . Lakin baada ya kuprint hiyo form inaonesha nimaombi ya mkopo ya diploma ya uwalimu wa masomo ya sayansi. sasa kwanini form inasema maombi ya ualimu wakati Mimi nimeomba pharmacy? msaada jamani kwa wenye uelewa.