Diploma Science, Education and Mathematics against HESLB

WIZ KID

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
135
Reaction score
4
Wadau Udom walitoa tangazo lakutuma maombi ya diploma za sayansi kama vile diploma in pharmacy and Nursing pamoja diploma ya education. sasa ninapo jaza form za mkopo online kuna sehemu ya applicant category ,Mimi nikajaza kama applicant of science education na course nilizo jaza ni diploma in pharmacy and diploma in Nursing . Lakin baada ya kuprint hiyo form inaonesha nimaombi ya mkopo ya diploma ya uwalimu wa masomo ya sayansi. sasa kwanini form inasema maombi ya ualimu wakati Mimi nimeomba pharmacy? msaada jamani kwa wenye uelewa.
 
ni kwa sababu umejaza katika category ya applicant of science education,"wewe mwenyewe umesema hapo juu "Mimi nikajaza kama applicant of science education"
 
Vipi vigezo vya kuomba mkopo wa diploma vinasemaje? Kama vinasema Education basi System imesetiwa kukubali maombi ya Education tu na sio.mengine
 
Diploma yenye mkopo ni ile ya Education - science tu, hiyo phamarcy na nursing haznaga mkopo hapa udom
 
dah kumbe bas nlikua cja elewa mwana ila kuna wadau walisema mkopo unatolewa kwenye hizo diploma
 
Back
Top Bottom