BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Apr 29, 2015 #1 Leo nimekutana na walimu tarajali wa5 wakasema hawajapangiwa vituo. Ni kwa nini Diploma wengi wameachwa na hasa waliosapua wote. Wanadai wataajiriwa wa7.Tatizo ni nini wadau.
Leo nimekutana na walimu tarajali wa5 wakasema hawajapangiwa vituo. Ni kwa nini Diploma wengi wameachwa na hasa waliosapua wote. Wanadai wataajiriwa wa7.Tatizo ni nini wadau.
M Mbuzi Mzee JF-Expert Member Joined Feb 5, 2015 Posts 348 Reaction score 82 Apr 29, 2015 #2 Dah!wakati dip ndo ethics za kiualimu ndo zilipozaliwa.... Yatatoka tu kwa maana hakuna namna nyingine sasa
Dah!wakati dip ndo ethics za kiualimu ndo zilipozaliwa.... Yatatoka tu kwa maana hakuna namna nyingine sasa
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Apr 29, 2015 Thread starter #3 Imetangazwa jana ajira zingine wa 7.
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Apr 29, 2015 Thread starter #5 Au majina ya waliosapua hayajafika tamisemi. Na walioomba wameajiriwa sayansi na hisabati.Hivi kuna wa degree waliokosa?
Au majina ya waliosapua hayajafika tamisemi. Na walioomba wameajiriwa sayansi na hisabati.Hivi kuna wa degree waliokosa?
Mr. Mbugi Member Joined May 10, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Apr 29, 2015 #6 May be watawaweka wanapofanya marekebisho walosema
B ben mjukuu Member Joined Apr 27, 2015 Posts 59 Reaction score 8 Apr 30, 2015 #7 polen ndugu zangu ila msife moyo zamu yenu inakuja