Diploma teachers ni kilio cha wengi

Diploma teachers ni kilio cha wengi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Leo nimekutana na walimu tarajali wa5 wakasema hawajapangiwa vituo. Ni kwa nini Diploma wengi wameachwa na hasa waliosapua wote. Wanadai wataajiriwa wa7.Tatizo ni nini wadau.
 
Dah!wakati dip ndo ethics za kiualimu ndo zilipozaliwa....
Yatatoka tu kwa maana hakuna namna nyingine sasa
 
Imetangazwa jana ajira zingine wa 7.
 
Au majina ya waliosapua hayajafika tamisemi. Na walioomba wameajiriwa sayansi na hisabati.Hivi kuna wa degree waliokosa?
 
Back
Top Bottom