Diploma wote hawapati mkopo,kwa sababu.

Diploma wote hawapati mkopo,kwa sababu.

nyota poa

Senior Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
152
Reaction score
7
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in account,business administration,procurement logistic and management,human resources management.et.hawa wezi kupata mkopo kwa sababu masomo hayo hajapewa kipao mbele katika kielimu.
 
sosi plz dude..
 
Hizo ni sheria, kama ilivyosheria nyingine yyt inayokataza kuiba, tangu umekua kiasi hicho hujawahi kusikia mtu kaiba?, imekuaje aibe wakati sheria ipo? pole dogo umedanganywa!
wapo wanaofanya kozi za zisizo kipaumbele na wanapata 100%
 
hahaha... umekurupuka na kuandika upuuz... ww ndo upo kwenye bodi ya mkopo... mbona taarifa zako hazijakamilika, na sababu zako hazina mashiko.. mbona baadhi ya ulizotaja zina loan priority.. mkopo ni bahat ya mtu kutokana na kukidhi vgezo kwenye ujazwaj wa fom..
 
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in account,business administration,procurement logistic and management,human resources management.et.hawa wezi kupata mkopo kwa sababu masomo hayo hajapewa kipao mbele katika kielimu.
Wewe kama ni mwanachuo lazima uliwe kichwa!!

Yaani kwa ufupi huna uwezo wa kuchanganua mambo!! Mimi nilitegemea ulete hizo sababu mbili zinazoelezea kwa nini Diploma hawawezi kupata mkopo, badala yake unataja wale wanaoweza kupata mkopo!! Jifunze kuchanganua mambo ndugu yangu!!!
 
kwaza inaonyesha mwenyewe hana uhakika na maelezo yake.. sentensi zake zimejaa virai,
 
mwaka huu wa dip nao wanapata mkopo wakati wa degree bodi haina fedha za kuwakopesha wote wenye kozi za kipaumbele. jamani hebu nendeni chuo mnatujazia seva kwa kukaa sana nyumbani, MB za cheka na tress
 
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in account,business administration,procurement logistic and management,human resources management.et.hawa wezi kupata mkopo kwa sababu masomo hayo hajapewa kipao mbele katika kielimu.

Natamani kukutukana wewe...daaah sio siri kuna watu mmetumwa kututafutia ban watoto wa wenzenu...au unafikiri kwa kutumia .....
 
mwaka huu wa dip nao wanapata mkopo wakati wa degree bodi haina fedha za kuwakopesha wote wenye kozi za kipaumbele. jamani hebu nendeni chuo mnatujazia seva kwa kukaa sana nyumbani, MB za cheka na tress

ahaha MB za cheka kumbe zinawapa uchizi watu
 
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in account,business administration,procurement logistic and management,human resources management.et.hawa wezi kupata mkopo kwa sababu masomo hayo hajapewa kipao mbele katika kielimu.

wwe umechizika na
 
Diploma zote za engineering zote za DIT na vyuo vngne zilipew kipaumbele sasa ww f6 leaver ndo ujifanye HESLB.. acha kukurupuka kama unahisi jtakosa wewe stnd 7 wamemaliza fungua pre f1 upate pesa
 
Diploma hawawezi kupata mkopo,kwa sababu mbili kuu,
1.diploma ambao wame base kwenye education,agriculture,sayansi subject,mathematics.hawo ndo wanaweza kupewa mkopo.
2.degree in account,business administration,procurement logistic and management,human resources management.et.hawa wezi kupata mkopo kwa sababu masomo hayo hajapewa kipao mbele katika kielimu.

No.1 sio wanaweza sema watapata mkopo tena km Engineering mpaka 100%
 
Wewe ni kilaza...mbona heading na contents havina ushirikiano??
 
Back
Top Bottom