Diploma ya clinical officer vs degree ya education

Diploma ya clinical officer vs degree ya education

Shabby kng

Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
41
Reaction score
6
Ndugu zangu wana jf nmemalza form6 na nina 3ya15 hivyo cutoff point za kusoma md sina hvo nahitaji ushauri wenu nikasome degree ye utcha au dip ya clinical officer(co) maana inasemekana co inalpa kuliko hata dgree ya utcha. Msaada tafadhari
 
Field zote mbili ziko kwenye sekta ambayo huwezi kukosa mahali pa kujishikiza, labda lije suala la mapenzi yako sasa. Wewe unapendelea nini zaidi au field zote unaenda tu kwa sababu labda umekosa sehemu nyingine yoyote?

Manake usije hapo baadaye ukaja kutudunga sindano za mishipa wenzako kisa ndani ya moyo unachukia u-clinical officer! Au wajukuu zetu ukawalisha 'kasa' kisa ualimu huupendi...
 
Ualimu ni kaz ya wito hata Uganga nayo ni kaz ya wito.KWAN MPAKA SASA HUJAFANYA APPLICATION?AU UNATIKISA KIBERIT?
 
Kama unataka kupata ajira bila usumbufu chagua unachopenda ila kama unataka kupata maujuzi na utaalam basi fanya kurudia mtihani wa Kidato cha Sita tena upate credt uende ukapige Degree ya udaktari maana naona uko interested sana na udaktar
 
Utcha ndio nini? dip nayo je? We ni form six bwana, ushakuwa mkubwa acha kuandika mambo ya hivyo! Mi kusema kweli nakushauri ukue kwanza ndio utachagua cha kwenda kusomea
 
zote hizo ni kazi za wito. lakini mwl. mwenye degree ya masomo ya sayansi ni marketable sana, ndani na nje ya nje. ukisoma u-co utakuwa unabeba brifikesi za madoctor waliotoka muhimbili na kairuki
 
kwan JF ni mahal pa kuamulia personal interest kama hili lako .Fanya maamuzi kulingana na interest zako sio kwa wing wa mawazo .
 
Ndugu zangu wana jf nmemalza form6 na nina 3ya15 hivyo cutoff point za kusoma md sina hvo nahitaji ushauri wenu nikasome degree ye utcha au dip ya clinical officer(co) maana inasemekana co inalpa kuliko hata dgree ya utcha. Msaada tafadhari

kuhusu kulipa inategemea na mwajiri wako! ila degree ni tofauti na diploma ujue
 
Ualimu ni kaz ya wito hata Uganga nayo ni kaz ya wito.KWAN MPAKA SASA HUJAFANYA APPLICATION?AU UNATIKISA KIBERIT?

Degree ni degree tu! na sifa ya kusoma chuo ni credits mbili ambazo umefaulu at the same sitting, hizo sifa zinatambulika chuo chochote hata kama ni harvard au oxford university. kwa vile watu wenye dv 3 ni wengi udsm hawatakuchukua.
 
acha kufananisha dip na degree dogo

Ni kweli kwani degrii inabaki na heshima yake tu kwa jina na uelewa.Kuhusu maslahi usidanganyike!CO anaanza na mshahara wa 540000 hivi kabla ya makato!ukimwona anamaisha mazuri ujue rushwa na criminal abhortion kibao!kama dhamiri yako haiogopi kipato cha jinsi hiyo nenda kasome u afisa tabibu(CO),ila kuepukana na kelele za wananchi bora usome uhasibu ama uheshimiwa(hakimu) ambapo mipesa mingi inakujia na hutasikia wananchi wa kawaida wanalalamika!Hata hivyo kama dhamiri yako ni njema,nenda kasome ualimu tu kwani bado ukfanya vizuri,unaweza kuanza hata na mshahara wa 1700000 shule za priv.Hizi fani za medical wengi wana stress sana kutokana na kudharauliana wao kwa wao na ndio sababu wengi hawjiamini!wakali kwa wagonjwa ama wanaweza kutafuta kutukuzwa na wagonjwa muda wote,wanajidai wanajua kila kitu.Kusema kweli hii ni mbaya.Tarajia kufanya night duty bila malipo yoyote.Hata hivyo ukiwa na bahati ya mtende utahudhuria semina nyingi zisizo na kichwa wala miguu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
[QUOTE said:
Shabby kng;6746140]Ndugu zangu wana jf nmemalza form6 na nina 3ya15 hivyo cutoff point za kusoma md sina hvo nahitaji ushauri wenu nikasome degree ye utcha au dip ya clinical officer(co) maana inasemekana co inalpa kuliko hata dgree ya utcha. Msaada tafadhari
[/QUOTE]
Ok mzazi nimesoma post za baadhi ya wadau, wanadai degree ndio mpango achana nao CO ni zaidi ya kushika chaki,mshahara wake ni mkubwa sawa na mwalimu mwenye master, kapige CO hautojuta kwani ukienda kupiga MD kutokea CO UNASOMESHWA BUREEE huku mshahara wako unaingia,hamnaga magumashi kwenye sekta ya afya kwanza ukienda ualimu eti we unafundisha BIOS form one hadi four mwenzako anafundisha civics form one mshahara mmoja si upumbavu huo
 
57516]Degree ni degree tu! na sifa ya kusoma chuo ni credits mbili ambazo umefaulu at the same sitting, hizo sifa zinatambulika chuo chochote hata kama ni harvard au oxford university. kwa vile watu wenye dv 3 ni wengi udsm hawatakuchukua.
[/QUOTE]
ndio munavyojipa moyo hivyo eti degree ni degree mi na BVM yangu nitafanana na wewe na BAed eti kisa umesoma Havard kua certificate zingine zinalipa zaidi ya master of business sijui nini,HAILIPWI DEGREE INALIPWA KAZI UNAYOIFANYA
 
Back
Top Bottom