Shabby kng
Member
- Jul 4, 2013
- 41
- 6
acha kufananisha dip na degree dogo
Ndugu zangu wana jf nmemalza form6 na nina 3ya15 hivyo cutoff point za kusoma md sina hvo nahitaji ushauri wenu nikasome degree ye utcha au dip ya clinical officer(co) maana inasemekana co inalpa kuliko hata dgree ya utcha. Msaada tafadhari
Nenda diploma ya clinical officer
Ualimu ni kaz ya wito hata Uganga nayo ni kaz ya wito.KWAN MPAKA SASA HUJAFANYA APPLICATION?AU UNATIKISA KIBERIT?
acha kufananisha dip na degree dogo
[/QUOTE][QUOTE said:Shabby kng;6746140]Ndugu zangu wana jf nmemalza form6 na nina 3ya15 hivyo cutoff point za kusoma md sina hvo nahitaji ushauri wenu nikasome degree ye utcha au dip ya clinical officer(co) maana inasemekana co inalpa kuliko hata dgree ya utcha. Msaada tafadhari
[/QUOTE]57516]Degree ni degree tu! na sifa ya kusoma chuo ni credits mbili ambazo umefaulu at the same sitting, hizo sifa zinatambulika chuo chochote hata kama ni harvard au oxford university. kwa vile watu wenye dv 3 ni wengi udsm hawatakuchukua.