Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Msaada hii kozi siku izi wanaombaje maana haipo kjwenye mfumo wa maombi kupitia nactevet na hio ni kozi ambayo nahitakji sana kuisoma
Cuhas tumeshindwana wamesema 535,000 ya nafasi 😂 tena haijumuishwi kwenye ada mbayo ni 1.95 ada ya degree kabisa ya MD pale. Muhas
Naombeni mawazo yenu
Cuhas tumeshindwana wamesema 535,000 ya nafasi 😂 tena haijumuishwi kwenye ada mbayo ni 1.95 ada ya degree kabisa ya MD pale. Muhas
Naombeni mawazo yenu