Msaada hii kozi siku izi wanaombaje maana haipo kjwenye mfumo wa maombi kupitia nactevet na hio ni kozi ambayo nahitakji sana kuisoma
Cuhas tumeshindwana wamesema 535,000 ya nafasi π tena haijumuishwi kwenye ada mbayo ni 1.95 ada ya degree kabisa ya MD pale. Muhas
Naombeni mawazo yenu