Diploma ya journalism kusoma degree ya ualimu inawezekana?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Wadau nina Diploma ya Journalism naweza kusoma degree gani nchini yenye fursa nzuri ya ajira au kujiajiri?
Jaman tusaidiane nataka nipate mwanga nijue pakuanzia
 
Imawezekana kabisa ila inategemea na ufaulu wako wa O'level pamoja na hiyo Diploma yako (GPA) ila tu kama chuo ulichosomea kinausajili wa serikali na hasa NACTE.
 
Kwa nini usifanye degree ya mass comunication? Nionavyo mimi japo fani yenu imeingiliwa na makanjanja lkn ukiifanyya kwa kuzingatia weledi basi unaweza kujiajiri mwenyewe na ukapiga hatua kubwa tu.
Kama unakimbilia ualimu ili upate urahisi wa kuajiriwa haraka basi fikiria mara mbili mbili, kuna wenzio wanataka kutoka huko ilhali wewe unataka kuingia.
Hebu fikiria kujiajiri na kutengeneza ajira kupitia hiyo hiyo diploma yako kwanza kisha nadhani ukisoma degree yake utakuwa umeongeza weledi katika kile unachokifanya.
My take. Hakuna furaha ya kweli na uhuru wa dhati unaoweza kuupata kwa kazi ya kuajiriwa. Utakuwa mtumwa tu in one way or another wa kumtimizia mwenzio ndoto zake. Think outside the box mkuu.
 
Uko vizuri sana, Mungu akubariki ndugu
 
Back
Top Bottom