Diploma ya ualimu kwenda degree

Diploma ya ualimu kwenda degree

Masumbuko r bilali

Senior Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
158
Reaction score
35
Nina diploma ya ualimu na GPA ya 2.6 katika masomo ya art. ni chuo kipi cha serikali au binafsi naweza pata nafasi kwajili ya kusoma degree?
 
kama mna vyeti vizuri vya form six mnaweza kuomba TCU pia ata GPA iyo mnawezakujaribu TCU najua mtapata msikate tamaa
 
Back
Top Bottom