militia mfumo wa udahili wa pamoja . CAS, malipo ya 20000 kupitia nacte.. vigezo angalau two credit kat ya masomo phy, chem, bio, math, na ufundi kwa shule za tech
yeah . wahini fursa kwa form 4 walomaliza kama unataka boom mapema, tupia hiyo program ni nzurii,,, wemzako wakiwa wanamaliza six we upo kwenye ajira na boom umeshakula sanaaa ..
kuna dogo alilisitasomo matano akawa na phy na bios D.chem geog D na phy F.atapata ordinary dip in education...au ku a coz gan zingine wanazotoa na bumu