Diploma ya ualimu UDOM

Diploma ya ualimu UDOM

mkuu namna ya kuomba maombi iko vipi?
 
militia mfumo wa udahili wa pamoja…. CAS, malipo ya 20000 kupitia nacte.. vigezo angalau two credit kat ya masomo… phy, chem, bio, math, na ufundi kwa shule za tech
 
yeah…. wahini fursa kwa form 4 walomaliza kama unataka boom mapema, tupia hiyo program ni nzurii,,, wemzako wakiwa wanamaliza six we upo kwenye ajira na boom umeshakula sanaaa…..
 
kuna dogo alilisitasomo matano akawa na phy na bios D.chem geog D na phy F.atapata ordinary dip in education...au ku a coz gan zingine wanazotoa na bumu
 
sina uhakika sana… ila wanahitaji division 1… ..3 au gpa ya 1.6 ajarbu huenda akapata eduction in primary manake nayo wanatoa boom.

Nb. program hii ni udom pekee na ndo wana boom
 
Back
Top Bottom