Ushauri wangu, kwa maelezo yako ni kuwa nacte hawaitambui hiyo Diploma japo wanakitambua Chuo ! ! ,, mara zote
unapowasiliana nao tumia maandishi/ kwa barua na wao wakujibu hivyo hivyo ili kupata sababu zao za kutoitambua hiyo Dip. kama ushahidi, ikiwezekana wakuambie cha kufanya wewe ili elimu yako itambulikane, na ikiwezekana iweke wazi kama ulivyofanya hapa ungeweka barua zao tuzione na pia magazetini na vyombo vingine vya habari,,,, pia nacte ni taasisi ya umma ikibidi uwashitaki mahakamani.... kwa nini mm nashauri hivyo duniani leo pana namna nyingi sana ya kuelimika ODL (open and distance learning) ni mojawapo inayotegemewa sana,,,, ONLINE Education pia na hata vyuo vyetu kama UDSM nao wanatoa elimu kupitia internet IWEJE NACTE WAWARUDISHE NYUMA WATZ ? ? kama pana mashaka ilikuwa ni wajibu wao kufuatilia kama kweli vyeti genuine,, kuhakiki kweli ulisoma na kugraduate chuo husika n.k.