Diploma za Uingereza

Diploma za Uingereza

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Nabii hatambuliki kwao!! Utendaji wa nacte na mfumo wa utoaji elimu nchini ni wa kizamani sana. The London School of Journalism-LSJ inatoa degree na diploma zinazotambuliwa kote duniani iwe kwa distance learning au mifumo mingine. Inashangaza kuona nacte wanasusua ku-accredit cheti changu cha diploma ingawa wamekiri LSJ ni moja ya vyuo vya nje vinavyotambuliwa na Serikali! Naomba ushauri kwa sasa ni mwaka tangu nianze kufuatilia
 
Ushauri wangu, kwa maelezo yako ni kuwa nacte hawaitambui hiyo Diploma japo wanakitambua Chuo ! ! ,, mara zote
unapowasiliana nao tumia maandishi/ kwa barua na wao wakujibu hivyo hivyo ili kupata sababu zao za kutoitambua hiyo Dip. kama ushahidi, ikiwezekana wakuambie cha kufanya wewe ili elimu yako itambulikane, na ikiwezekana iweke wazi kama ulivyofanya hapa ungeweka barua zao tuzione na pia magazetini na vyombo vingine vya habari,,,, pia nacte ni taasisi ya umma ikibidi uwashitaki mahakamani.... kwa nini mm nashauri hivyo duniani leo pana namna nyingi sana ya kuelimika ODL (open and distance learning) ni mojawapo inayotegemewa sana,,,, ONLINE Education pia na hata vyuo vyetu kama UDSM nao wanatoa elimu kupitia internet IWEJE NACTE WAWARUDISHE NYUMA WATZ ? ? kama pana mashaka ilikuwa ni wajibu wao kufuatilia kama kweli vyeti genuine,, kuhakiki kweli ulisoma na kugraduate chuo husika n.k.
 
Hao vilaza wanaotakiwa wafanye kazi hiyo wenyewe ni mamburula watupu. Hapa kwetu accreditation na elimu ni mambo mawili tofauti. Kwa mfano, ukitaka kupata kazi serikalini, peleka cheti cha UCC (University Computer Centre) lakini nakuhakikishia, vyuo hivi vya Wahindi kama Learn IT, New Horizon, CATS (IMIT) na vinginevyo vimeiacha hiyo taasisi ya VYETI mbali sana kitaaluma.

UCC wanaamini kwamba mabango ya ORACLE, MICROSOFT n.k kuwaacredit hao Wahindi ni kama zile picha za Kikwete kwenye njia panda wakati wa kampeni.
 
Nashukuru sana kwa ushauri. Unajua inasikitisha mtu ume dedicate muda wako na pesa kusoma, halafu nacte wakucheleweshe kusajili.
 
Back
Top Bottom