Alloyce PR JF-Expert Member Joined Nov 15, 2020 Posts 817 Reaction score 881 May 12, 2026 #1 Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati. Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika. Alloyce, P.R.
Viongozi wa Afrika, jitahidini kuwa na majasusi wa kimkakati. Kuna ukoloni mamboleo unaorejea barani Afrika, ambapo baadhi ya viongozi wa ndani watatumika kuwasaliti na 'kuwauza' viongozi wenzao wa Kiafrika. Alloyce, P.R.