Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

Dira Mpya 2050 ambayo imekaa KiCCM ambayo hailindwi na KATIBA MPYA !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Dira ambayo hailindwi na KATIBA ni sawa na janjajanja tu !!.

Kila siku CAG report yake itaonyesha Madudu na Ufisadi mkubwa, na hamna ambaye atachukuliwa hatua !!

Uzembe, Uvivu, Ufisadi , matumizi mabaya ya Ofisi na Fedha za Umma yataendelea kushamili.

Dira mpya ambayo Demokrasia Nchini inatishiwa kupotezwa , Haina maana yoyote Ile !!.

Dira Mpya ambayo Bado Rais ana Mamlaka Lukuki ni uzushi

Dira Mpya ambayo Mahakama , Bunge vinafaha kazi kichawachawa na kiccm ni uzushi!!.

Dira Mpya ambayo imekaa KiCCM CCM ,kwakua hailindwi na KATIBA MPYA, hamna Guarantee yoyote kwamba itafanikiwa

ITOSHE KUSEMA, BILA KATIBA MPYA, DIRA 2050 NI MNWEMBWE !!.
 
Dira mpya naomba kuuliza ni kwamba CCM itakuwepo mpaka 2050.
 
Back
Top Bottom