Dira ya taifa bila mifumo imara ya siasa na kupambana na rushwa ni kupoteza muda

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa

1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa

2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo serikali ndiyo ya kwanza kuipiga vita!

3. Viongozi wengi wananufaika na rushwa ndiyo maana kwa mfano mnaona ujenzi wa shughuli kubwa ni kwa wachina wenye pesa ya kuhonga mwanzo sasa ukiweka dira ya kampuni za Tanzania kwa mfumo wa sasa hatutaweza kutekeleza bila kwanza kuzuia rushwa.

Mwigulu pekee anatoa tender ya vipande vya treni kujengwa bila kufuata utaratibu na anapewa 10% ndiyo maana ni bilionea! IGP kuwa na mabilioni kwenye account yake tujiulize inatoka wapi?

Soma Pia: Rais Samia azindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Dodoma Julai 17, 2025

Bila demokrasia ya kweli na kupambana na rushwa ni kupoteza muda
 
1752755340362.png
 
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa

1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa
2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo serikali ndiyo ya kwanza kuipiga vita!
3. Viongozi wengi wananufaika na rushwa ndiyo maana kwa mfano mnaona ujenzi wa shughuli kubwa ni kwa wachina wenye pesa ya kuhonga mwanzo sasa ukiweka dira ya kampuni za Tanzania kwa mfumo wa sasa hatutaweza kutekeleza bila kwanza kuzuia rushwa. Mwigulu pekee anatoa tender ya vipande vya treni kujengwa bila kufuata utaratibu na anapewa 10% ndiyo maana ni bilionea! IGP kuwa na mabilioni kwenye account yake tujiulize inatoka wapi?

Bila demokrasia ya kweli na kupambana na rushwa ni kupoteza muda
Ondoa siasa hapo

Diasa ni chanzo cha failure
 
Mwenye kujua ninapoweza kuipata dira ya taifa nifahamishwe wakuu
 
Tunaweka Dira ambayo haiwezi kutekelezeka kwa mazingira ya sasa

1. Hatuna mfumo imara wa haki na mahakama zinatoa haki kipendeleo na kisiasa
2. Hatuna mfumo wa siasa mzuri tuna demokrasia ambayo serikali ndiyo ya kwanza kuipiga vita!
3. Viongozi wengi wananufaika na rushwa ndiyo maana kwa mfano mnaona ujenzi wa shughuli kubwa ni kwa wachina wenye pesa ya kuhonga mwanzo sasa ukiweka dira ya kampuni za Tanzania kwa mfumo wa sasa hatutaweza kutekeleza bila kwanza kuzuia rushwa. Mwigulu pekee anatoa tender ya vipande vya treni kujengwa bila kufuata utaratibu na anapewa 10% ndiyo maana ni bilionea! IGP kuwa na mabilioni kwenye account yake tujiulize inatoka wapi?

Bila demokrasia ya kweli na kupambana na rushwa ni kupoteza muda
Ni kweli kabisa nchi inayo Jenga uchumi wa taifa bila kuwa na katiba madhubuti ya kulinda rasilimali na fedha za umma ni kama kujaza maji kwenye pipa lenye matundu mengi yanayo toa maji kuliko Yanayo wekwa, tuanze na katiba kwanza 💯
 
Back
Top Bottom