OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 457
- 773
Dira ya Taifa inayotarajiwa kuzinduliwa leo, imeandika kulenga kufikia Tanzania ya Viwanda kufikia mwaka 2050 ambapo imesema wanataka kuwa nchi ya kipato cha juu cha kati (Upper Middle Income Country). Hata hivyo kwenye kipato cha watu wamelenga kuwa dola 7000 kwa mwaka.
Je, per Capital Income ya $7000 kwa mwaka kwa mwaka 2050 itakuwa kipato cha kati cha juu?
Kwa data za sasa za Benki ya Dunia, GDP per Capita ya Upper Middle Income kwa mwaka 2024 ni 10,961.8
Kwa classfication za sasa utaona ni kweli kwamba dola 7000 ni kipato cha kati cha juu, lakini je miaka 25 ijayo kwa depreciation na inflation, je $7000 itabaki kuwa kipato cha kati cha juu? Ikumbukwe hadi sasa hii 7000 ni below the global avarage.
Baadhi ya estimation za wadau wa uchumi zinaonesha kuwa Upper Middle income itakuwa zaidi ya $40,000 per capita kufikia mwaka 2050. Maana yake ni kuwa hadi kufikia mwaka 2050 bado Tanzania inajipanga kuwa below global avarage inayotarajiwa.
Well, hakuna estimation za percapita itakavyokuwa kufikia mwaka 2050 mbali na ripoti ya PWC ilivyofanya analysis ya nchi chache ikiwemo India ambayo nayo inatarajiwa kuwa na Per capita ya zaidi ya $40k kufikia 2050.
Basically, kama nchi imepanga kipato kuwa $7000 kwa mwaka inawezekana ni kweli tumepanga kubaki kuwa maskini.
Au walifanya hesabu hizi wameshindwa kuestimate depreciation of the currency/Inflation kufikia mwaka huo, hivyo wametumia takwimu za sasa kama zilivyo?
Lakini hata wewe fikiria, how can a country ambayo inajipanga kuwa kwenye top ten za exporters iwe na kipato cha 7000 tena mwaka 2050.
Dira imelenga kutengeneza maskini.
Nawasilisha.