Baba Genovivah
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 756
- 249
direct cost ni lak 5 na 45 elf
hv hk chuo kiko wap jaman mbona hata kwenye guidebook sjakiona..mi wa muhas jaman
Ulipokuwa unasema we wa muhas ulikuwa unamaanisha nini??nipo stjohn kaka... one of the only 40 best students enrolled to pursue b of pharmacy....afu tujirekebishe bhana yana mtu anatoa thread badala mmpe targeted answer mnaanzisha thread ndan ya thread sio fresh hivyo tubadilike
Haya tuambie tofauti ya TEKU na St John ni ipi? Nyie huwa mnakimbia kwenu kisa hali ya kipato kazi yako kuzunguka humu jf na kujifanya unasoma muhimbilimgambo ni mgambo tu na Maja Generali ni Meja Generali tu huwez kubadili achen hvyo hvyo coz ilikuwa hivyo tangu mwanzo sasa na hata milele
Ulipokuwa unasema we wa muhas ulikuwa unamaanisha nini??
Haya tuambie tofauti ya TEKU na St John ni ipi? Nyie huwa mnakimbia kwenu kisa hali ya kipato kazi yako kuzunguka humu jf na kujifanya unasoma muhimbili
Ona hapa unadanganya wewe ni first year wa muhimbili
Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?
Ukiwa muongo usiwe msaulifu hapa unadanganya wewe ni second year wa muhimbili Mishahara
Acha ujinga kijana
serious tena naingia 2nd year b of pharmacy stjohn ila chuo ni chuo bt kikubwa ni kukaza tu...coz naweza kumaliza afu tukafanya kaz ofisi moja na hawa TEKU..pia msisahau hili ni bora ukasome Josia kibira a0 Teku umalize koz kuliko uende SUA au UDSM uishie kudisko.nawasilisha
Sasa kama ulikuwa unayajua haya kwanini umetoa lugha yenye dharau? Usifanye hivyo ndugu yangu
natubu kaka nisamehe kweli sometimes wabongo hatufati ethics hilo ndo linatufanya uwe behind listed kene maendeleo ya kielimu..tubadilike
Na mimi nakuuliza wewe je unasoma muhas au st john?
Hahaaaaaa daaagh umemkamata patamu
Teh teh teh hawa vijana dharau nyingi kweli kweli
wadau wa jf,nashukuru sana kwa taarifa ngoja njipange i hope degree ntapata!!ila dharau c nzuri,nmekupenda sana msafiri
kwahiyo hyo direct cost ndo sh ngp wanajamvi