direct cost at TEKU

direct cost at TEKU

hv hk chuo kiko wap jaman mbona hata kwenye guidebook sjakiona..mi wa muhas jaman
nipo stjohn kaka... one of the only 40 best students enrolled to pursue b of pharmacy....afu tujirekebishe bhana yana mtu anatoa thread badala mmpe targeted answer mnaanzisha thread ndan ya thread sio fresh hivyo tubadilike
Ulipokuwa unasema we wa muhas ulikuwa unamaanisha nini??
mgambo ni mgambo tu na Maja Generali ni Meja Generali tu huwez kubadili achen hvyo hvyo coz ilikuwa hivyo tangu mwanzo sasa na hata milele
Haya tuambie tofauti ya TEKU na St John ni ipi? Nyie huwa mnakimbia kwenu kisa hali ya kipato kazi yako kuzunguka humu jf na kujifanya unasoma muhimbili

Ona hapa unadanganya wewe ni first year wa muhimbili
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=7449580
Ukiwa muongo usiwe msaulifu hapa unadanganya wewe ni second year wa muhimbili https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=7449613

Acha ujinga kijana
 
Ulipokuwa unasema we wa muhas ulikuwa unamaanisha nini??

Haya tuambie tofauti ya TEKU na St John ni ipi? Nyie huwa mnakimbia kwenu kisa hali ya kipato kazi yako kuzunguka humu jf na kujifanya unasoma muhimbili

Ona hapa unadanganya wewe ni first year wa muhimbili
Nini hatma ya waliokosa Mkopo toka HESLB 2013?
Ukiwa muongo usiwe msaulifu hapa unadanganya wewe ni second year wa muhimbili Mishahara

Acha ujinga kijana

serious tena naingia 2nd year b of pharmacy stjohn ila chuo ni chuo bt kikubwa ni kukaza tu...coz naweza kumaliza afu tukafanya kaz ofisi moja na hawa TEKU..pia msisahau hili ni bora ukasome Josia kibira a0 Teku umalize koz kuliko uende SUA au UDSM uishie kudisko.nawasilisha
 
Sasa kama ulikuwa unayajua haya kwanini umetoa lugha yenye dharau? Usifanye hivyo ndugu yangu
 
Sasa kama ulikuwa unayajua haya kwanini umetoa lugha yenye dharau? Usifanye hivyo ndugu yangu

natubu kaka nisamehe kweli sometimes wabongo hatufati ethics hilo ndo linatufanya uwe behind listed kene maendeleo ya kielimu..tubadilike
 
wadau wa jf,nashukuru sana kwa taarifa ngoja njipange i hope degree ntapata!!ila dharau c nzuri,nmekupenda sana msafiri
 
Back
Top Bottom