Jeff the profucer
Member
- Feb 16, 2015
- 63
- 85
Wakuu naomba direction kufika mzumbe sec kutokea morogoro basi stand ikiwezekana na nauli yake thanks
thanksBila shaka umechaguliwa kwenda Mzumbe Sec na hongera kwa hilo...
Pili kama unataka kufika huko ukifika pale stendi kuu msamvu tafuta gari zinazokwenda mjini then shuka kituo cha daladala pale mjini.
Baada ya kushuka tafuta gari zinazokwenda mzumbe mlali nyingi utaona zimeandikwa na zinapaki pembezoni mwa lile banda la vodacom mle ndani stendi...
Unaweza uliza watu gari za mzumbe mlali wakakuelekeza....
Ukipanda utashuka mzumbe kituo cha getini au kanisani kote utapata njia zinazokwenda moja kwa moja mpaka shuleni au unaweza chukua piki piki ukamwambia akupeleke mzumbe Sec nauli ni elfu moja tu... Na nauli kutoka mjini mpaka mzumbe ni mia tisa tu..900/=
Hongera na masomo mema.
thanksKutoka hapo Msamvu, panda daladala za kuelekea town, then ukfka hapo stend ya daladala, panda daladala znazoelekea Mlali au Mzumbe. Nauli nshasahau, kipind najiunga hapo Mzumbe sec mwaka 2006, nauli ilkua km Tshs 1,000/=
Bila shaka umechaguliwa kwenda Mzumbe Sec na hongera kwa hilo...