Direction kufika Mzumbe Sekondari

Direction kufika Mzumbe Sekondari

Joined
Feb 16, 2015
Posts
63
Reaction score
85
Wakuu naomba direction kufika mzumbe sec kutokea morogoro basi stand ikiwezekana na nauli yake thanks
 
Kutoka hapo Msamvu, panda daladala za kuelekea town, then ukfka hapo stend ya daladala, panda daladala znazoelekea Mlali au Mzumbe. Nauli nshasahau, kipind najiunga hapo Mzumbe sec mwaka 2006, nauli ilkua km Tshs 1,000/=
 
Bila shaka umechaguliwa kwenda Mzumbe Sec na hongera kwa hilo...

Pili kama unataka kufika huko ukifika pale stendi kuu msamvu tafuta gari zinazokwenda mjini then shuka kituo cha daladala pale mjini.

Baada ya kushuka tafuta gari zinazokwenda mzumbe mlali nyingi utaona zimeandikwa na zinapaki pembezoni mwa lile banda la vodacom mle ndani stendi...

Unaweza uliza watu gari za mzumbe mlali wakakuelekeza....

Ukipanda utashuka mzumbe kituo cha getini au kanisani kote utapata njia zinazokwenda moja kwa moja mpaka shuleni au unaweza chukua piki piki ukamwambia akupeleke mzumbe Sec nauli ni elfu moja tu... Na nauli kutoka mjini mpaka mzumbe ni mia tisa tu..900/=

Hongera na masomo mema.
 
thanks
 
Nakushauri panda za Moja kwa moja kutoka mjini kuelekea Mzumbe na si za Mlali. Uzuri ni kwamba ukiwa stand ya daladala ya mjini, daladala za kwenda Mzumbe ni nyingi sana

Za Mlali utashushwa njia ya panda ya Mzumbe hivyo itakulazimu kutafuta usafiri mwingine. Ukipanda za Mzumbe ni moja kwa moja mpaka geti la Mzumbe University na unauliza tu Secondary ilipo....umefika
 
Bila shaka umechaguliwa kwenda Mzumbe Sec na hongera kwa hilo...

Pili kama unataka kufika huko ukifika pale stendi kuu msamvu tafuta gari zinazokwenda mjini then shuka kituo cha daladala pale mjini.

Baada ya kushuka tafuta gari zinazokwenda mzumbe mlali nyingi utaona zimeandikwa na zinapaki pembezoni mwa lile banda la vodacom mle ndani stendi...

Unaweza uliza watu gari za mzumbe mlali wakakuelekeza....

Ukipanda utashuka mzumbe kituo cha getini au kanisani kote utapata njia zinazokwenda moja kwa moja mpaka shuleni au unaweza chukua piki piki ukamwambia akupeleke mzumbe Sec nauli ni elfu moja tu... Na nauli kutoka mjini mpaka mzumbe ni mia tisa tu..900/=

Hongera na masomo mema.

We inaonekana ulikuwa mmoja wa wale mamantilie pale getini.
Sio bure. Au ulikuwa kati ya wale migambo wanazagaa zagaa pale hawana llt la maana wanalofanya.

Wazembe viumbe wabaya sana.
 
Back
Top Bottom