intro
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 306
- 327
Yooooh Niaje?
Kwa sasa kuna wimbi la wasanii wetu wa bongo flevani kuamini video kali zinabeba nyimbo hata ikiwa mbovu(kuna ukweli ndani yake).Kwa kuzingatia hilo suala la kichupa kikali linawaumiza vichwa hawa wasanii wetu(hupelekea wengine kuwapa riziki wadairekta wa bondeni kana kwamba bongo hakuna)
Sasa basi hebu tujadiliane wapenda burudani wenzangu kila mmoja kwa maoni yake kati ya hawa nani ni director bora kwa sasa bongo
1.Msafiri
2.Hanscana
3.Tone Blaze
4.Nisher
5.A.D Juma
6.nk.....
karibuni.
Mnaweza Kuongeza Wengine.