Director bora wa video bongo

Director bora wa video bongo

intro

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
306
Reaction score
327
Yooooh Niaje?

Kwa sasa kuna wimbi la wasanii wetu wa bongo flevani kuamini video kali zinabeba nyimbo hata ikiwa mbovu(kuna ukweli ndani yake).Kwa kuzingatia hilo suala la kichupa kikali linawaumiza vichwa hawa wasanii wetu(hupelekea wengine kuwapa riziki wadairekta wa bondeni kana kwamba bongo hakuna)

Sasa basi hebu tujadiliane wapenda burudani wenzangu kila mmoja kwa maoni yake kati ya hawa nani ni director bora kwa sasa bongo

1.Msafiri
2.Hanscana
3.Tone Blaze
4.Nisher
5.A.D Juma
6.nk.....

karibuni.

Mnaweza Kuongeza Wengine.
 
Adam Juma bado anabaki mhimili mkubwa Wa director Wa bongo, lakini nawakubali wengine kama
Ivan, msafiri, Tony blaze, na joozey
 
Sema nisha nae huenda ndo bora kulko wote tatz mapozi naona kama mengi but he is the best
NISHER [emoji146]
 
Sema nisha nae huenda ndo bora kulko wote tatz mapozi naona kama mengi but he is the best
NISHER [emoji146]

Huyo Ni mzee wa kutumia filter za instagram.Binafsi simuelewi sana.
 
Back
Top Bottom