FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
Ukiwataja madirector wa Movie za kutisha kwa Tz na East Africa kwa ujumla, basi utakosea km hutomtaja July Tax. Kwa upande wangu, jamaa anaukaribia uwezo wa Mel Gibson kwa Bongo yetu, japo kwa mbali kdogo. Hayupo wa kumfananisha nae, hata the late Kanumba atakubaliana nami.
Jamaa anauwezo mkubwa sana, sjui kwanini bado anakosea kosea kwny movie zake.
Baadhi ya Makosa niliyobaini kwa upande wangu ni pamoja na.
Kufanya movie zenye mfanano wa location. Ni kweli jamaa n mkazi wa Rocky City, ila Anakosea sana kwa kila Movie kufanyia kule. Mazingira yale yale yanachosha.
Kufanya movie na washirika wale wale. Ukiangalia movie za jamaa utagundua hili, yule aloigiza Mchawi kwenye movie hii, movie nyingine ataigiza Mtumishi wa Mungu. Jamaa anayumba sana aisee.
Kuchanganya matukio kwny movie moja, mfano Mchawi ama mtu mwny uwezo wa kijini kugombana. Napenda movie zako ila kwa hili unanichefuaga sanaa.
Ukakasi kweny story za movie zako. Hili linakuangusha sana, unapaswa kukaribisha watu wenye story nzuri na zenye mtiririko wa kueleweka. Sio mara jini. Mara msanii. Mara anagombana. Yani n km kachumbali vile.
Punguza wasukuma kwenye movie zako. Unapoandaa story ya movie, andaa pia location, inaweza kuwa Iringa, Mbeya , Mtwara nk. Washiriki unaweza wapata popote na wakawa bora kuliko wale unaokaa nae kambini kila siku. Sio wasukuma kwny kila movie. Inakera
Jaribu pia kupromote videos zako sehem tofaut tofaut, fanya kazi pia na distributors wenye uwezo mkubwa km Steps ili uongeze kipato, itakusaidia kufanya movie zenye budget kubwa
All in all wewe n director Mkali sana. Fanyia kazi haya.
Ipo madukani, Pata nakala yako