Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

BAMIZER

Member
Joined
May 2, 2022
Posts
52
Reaction score
62
Wakuu kwanini Yule mzungu aonekane ndani ya movie

Yeye ni Nani kwenye sector ya utalii?

Ni sahihi Kwa director kuwa ndani y movie?

Kwanini asinge wekwa mtanzania au kkiongoziwa nchi Fulani?

M naona kama haipo sawa hivi
 
Haya ndio madhara ya kutoangalia filamu kuanzia mwanzo mpaka mwisho...

Mkiona mwanzo mnajidai "peleka mbele matangazo hayo" na mkiona mwisho mnasema "imeisha hiyo siyo mpaka uone maandishi"


Angalia filamu/muvi nyingi za kibongo utakuta mule kwenye maandishi
Starring: KANUMBA Producer: KANUMBA Director: KANUMBA...
 
Back
Top Bottom