Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

Director kuonekana kwenye filamu ya Royal Tour ni sahihi?

Angalia filamu/muvi nyingi za kibongo utakuta mule kwenye maandishi
Starring: KANUMBA Producer: KANUMBA Director: KANUMBA...
We umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika... Huyu jamaa kweli ni kiazi tena mbatata
 
We umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika... Huyu jamaa kweli ni kiazi tena mbatata
Nyie ndo washamba. Hiyo filamu inahusu utalii wa Tanzania, kulikuwa hakuna sababu ya huyo mzungu kuwepo kwenye filamu. Hujui kuwa kwa kuonekana tu kalipwa pesa ndefu sana? Maana katokea kama co starring kitu ambacho si sahihi. Kilichotakiwa kuonekana ni vivutio vilivyokuwa vinatangazwa na siyo huyo mzungu. Labda ingetokea sauti yake tu hapo ni sawa. Gharama zisizokuwa za lazima
 
Wakuu kwanini Yule mzungu aonekane ndani ya movie

Yeye ni Nani kwenye sector ya utalii?

Ni sahihi Kwa director kuwa ndani y movie?

Kwanini asinge wekwa mtanzania au kkiongoziwa nchi Fulani?

M naona kama haipo sawa hivi
Uko sahihi haikuwa sawa. Badala ya kuonyeshwa vivutio tunaishia kumuangalia mzungu mwanzo mwisho. Si sawa
 
Back
Top Bottom