kijanamakini
Senior Member
- Nov 2, 2010
- 118
- 15
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa baba mwenye familia, akamuacha mke wake na kuanza kutumia hormones za kike, na inasemakana ashafanya surgery ya kutoa kende na kila kitu chini kuweka cha kike... kazi ipo..
Hizi tekenolojia kha!..
Tunakoelekea watu watajibadilisha kuwa manyani sasa..
Manake watakuwa hawaoni jipya..
Kweli kabisa, sijui watamuambia nini Muumba.. Kuwa alikosea katika formula yake.
Lord Have Mercy!
when nothing goes right! go left! period!Na wewe nakurusha humu na babu Aspirin dunia ione maajabu
Zaliwa Binti Kufa Mbaba! Teknolojia Ilipofikia! | Kona Ya Teknolojia Tanzania!
View attachment 60492View attachment 60493
Alivyokuwa zamani, na alivyo sasa!!!!
Dunia ina mambo!!!! Gender issues hizi!!!
Alikuwa baba mwenye familia, akamuacha mke wake na kuanza kutumia hormones za kike, na inasemakana ashafanya surgery ya kutoa kende na kila kitu chini kuweka cha kike... kazi ipo..