Amini nakwambia yanayofanyika ni picha tosha ya akili zinazoongoza hii nchi huko ccm na tiss yao.Kila script wanayotoa waigizaji wanakosea.
Script ya kwanza ni ile ya maandamano ya kwenda ubalozi wa Vatican Tanzania, kuna makosa mengi ya kiufundi yalifanyika ikakosa mvuto.
Script ya pili ni ile ya kuvamiwa kwa main character (steringi), ikajulikana hakuvamiwa wala kuumizwa bali alipaka mkorogo kuonyesha ni makovu. Steering kafia kwenye maua.
Script ya tatu, ni ile ya kupanda miti, imekuja kufahamika waliojifanya wana parokia ya Dovya sio waumini bali ni wahuni waliokodiwa kwa ujira wa elfu kumi kumi.
Baada ya kuona lengo haliwafikii wahusika wala hawajali, jana wameonekana baadhi ya madirectors wakiwa Vatican kufikisha ujumbe waliokusudia kwa walengwa.
Script writer Habib Mchage hana kazi anakula bure pesa za rais wa mawe, abadilishwe.
Nilishasema nchi unamkabidhi Mwigulu, Msigwa, na Makonda zero brain unategemea nini, eti ndio washauri wa rais.Amini nakwambia yanayofanyika ni picha tosha ya akili zinazoongoza hii nchi huko ccm na tiss yao.
Ndo mana nakwambia, hii nchi ili tupate maendeleo ya kweli hakuna budi ccm ife na tiss iundwe upya.
Habibu mchange alitoka UDOM hana mia, wakina mama wauza mboga wakamchamgia pesa ili ashinde ubunge wa kibaha kupitia CDM akashinda akahongwa ml 10 na koka mbunge wa sasa wa kibaha akauzaa jimboKila script wanayotoa waigizaji wanakosea.