Dirisha la kuomba mikopo HESLB kwa mwaka 2024/25 limefunguliwa

Maombi ya mikopo yanaanza tu hata kabla ya maombi ya vyuo ila majibu ya mikopo yatatolewa baada ya machaguo ya vyuo.
Sasa hapo ndo wanakuwa wamefanya nn. Maana kigezo Cha pili kwenye kuomba mkopo ni uwe umepata admission ya chuo
 
Hmmmm sidhani kama ni hivyo kigezo cha kupata ni uwe umepata admission lakini si cha kuomba.
 
Maombi ya mikopo yanaanza tu hata kabla ya maombi ya vyuo ila majibu ya mikopo yatatolewa baada ya machaguo ya vyuo.
Wanafanya hivyo kuweka nafasi kati ya diploma holders,waliomaliza f6 miaka ya nyuma na waliokosa then hpo Katikati wengine watajumuika matokeo yakitoka ndio maana ni miezi mitatu kwa maoni yngu
 
Kwa maana hio watu wa form six wana miezi miwili tu yakuomba mkopo na sio 90 kama wanavyo sema kwenye mwongozo wa diploma ndo wana siku 90
 
Kwani dirisha walisema "form 6 wana Siku 90" au waombaji Wana siku 90
 
Kama una kauwezo walau kadogo ka kusoma bila kutegemea mkopo nakushauri achana na mikopo, narudia tena achana na mikopo ya loan board.

Najua leo hutanielewa ila wenda utanielewa ukishamaliza chuo (when its too late).
 
Mpaka mtu anaeapply means uwezo hakuna.
Mbele kwa mbele.
[emoji573]
 
Kwani dirisha walisema "form 6 wana Siku 90" au waombaji Wana siku 90
Waombaji si form six na watu wa diploma? Ndo maana nikasema form six wana mwezi tu diploma ndo wana siku 90 .au kuna waombaji wengine tofauti na hao.
 
Dirisha ndo lishafunguliwa naona pipo zinabishana na NDIO 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom