Dirisha la kuomba mikopo HESLB kwa mwaka 2024/25 limefunguliwa

Dirisha la kuomba mikopo HESLB kwa mwaka 2024/25 limefunguliwa

Hilo dirisha liwe on mpaka October maana matokeo ya six yakianza itakuwa moto sana mwezi mmoja tu hautoshi kwa kweli
Msiogope hilo wazo nachukua pia tarifanyia kazi.

Ila kama haujapiga jktvjua hupati kitu na wahakikishia
 
Hata matokeo bado, mtu ameomba mkopo baadae matokeo ya NECTA kataga si uchuro huu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Tupite humu kupush jambo mhimu ktk mstakabali wa somo hili
 
Sasa wale watoto walio makambini jkt wanafanyaje?Haka ka serikali shida tupu
 
Back
Top Bottom